Ephesians 4:26-28

26 aMkikasirika, msitende dhambi, wala jua lisichwe mkiwa bado mmekasirika, 27 bwala msimpe ibilisi nafasi. 28 cYeye ambaye amekuwa akiiba, asiibe tena, lakini lazima ajishughulishe, afanye kitu kifaacho kwa mikono yake mwenyewe, ili awe na kitu cha kuwagawia wahitaji.

Copyright information for SwhNEN